Imewekwa kuanzia tarehe: August 12th, 2020
WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amezindua ofisi ya Ardhi Mkoa wa Ruvuma katika hafla ambayo imefanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Songea.
Kati...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 12th, 2020
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mheshimiwa Dkt.Harrison Mwakyembe anafanya ziara ya siku mbili katika Mkoa wa Ruvuma kuanzia Agosti 12 hadi 13 mwaka huu.
Katika kutekeleza jukumu ...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 11th, 2020
Benki ya NMB Tawi la Songea mkoani Ruvuma imezindua rasmi tisheti 500 zilizogharimu shilingi milioni tano kwa ajili ya Tamasha la Majimaji Selebuka spesho.
Tisheti hizo zitatumika...