Imewekwa kuanzia tarehe: December 6th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bi. Mary Makondo amekabidhiwa vifaa tiba vyenye thamani ya milioni 10,450,000 na Taasisi ya WILOLESI Foundation vitakavyowasaidia watoto wachanga wanaozaliwa na changam...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 5th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi. Mary Makondo, amezinduza duka jipya la Vodacom lililopo mtaa wa Mtini katika Manispaa ya Songea.
"Duka hili limekuwa mkoani Ruvuma tangu mwaka 2008 ni dhahiri k...