Imewekwa kuanzia tarehe: October 29th, 2023
Baadhi ya majengo katika mradi wa ujenzi wa hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea inayojengwa eneo la Sanangula Kata ya Shule ya Tanga ambapo hadi sasa serikali imetoa shilingi bilioni ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 27th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaasa wanafunzi katika shule ya Sekondari Dkt Emmanuel Nchimbi iliyopo Manispaa ya Songea kusoma kwa bidii na kuwa na nidhamu wakati wote.
Kanali...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 27th, 2023
Pichani mwenye kofia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na Kamati ya Usimamizi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Chief Zulu Academy inayojengwa katika kata ya Mshangano mjini Songea k...