Imewekwa kuanzia tarehe: January 10th, 2023
Taa maalum za kuwezesha kutua ndege usiku zimefungwa katika uwanja wa Ndege wa Songea mkoani Ruvuma hali ambayo utawezesha sasa ndege kutua usiku na mchana.
Hayo yamesemwa leo na Meneja wa TANROADS...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 9th, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya na waganga wakuu wa mikoa yote nchini wasimamie maadili kwa watumishi wa sekta ya afya ili fedha zinazotolewa kwenye sekta hiyo ziendane na ubora ...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 9th, 2023
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na kushamiri kwa Biashara ya makaa ya mawe katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.
Akizungumza kwenye majumuisho ya ziara y...