Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2021
Halmashauri ya Manispaa ya Songea imezindua rasmi miradi ya kuboresha miundombinu ya afya na elimu kwa lengo la kuanza utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu hiyo.
Miradi hiyo ilizinduliwa na Mbunge ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 30th, 2021
MKOA wa Ruvuma umeibuka na ubingwa kwenye mchezo wa bao katika mashindano ya SHIMIWI mwaka 2021 baada ya kufunga Timu ya wizara ya Ulinzi kwenye mchezo wa fainali uliofanyika Oktoba 30 ndani ya ...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 30th, 2021
WANANCHI wa kijiji cha Igawisenga Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma,wameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa maji unaokwenda kumaliza kero ya maji safi na salama ...