Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekabidhiwa mwongozo wa kuwafundisha vijana wa skauti kukabiliana na adui rushwa .Mwongozo huo uliandaliwa na TAKUKURU umekabidhiwa na Kamati ya...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololeti Mgema amesema Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni moja na milioni miatatu na tisini kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 65 vya madarasa kwa ajili ya wa...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 2nd, 2021
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mhe.Mennas Komba ametoa onyo kwa Watendaji na Viongozi wa Halmashauri hiyo kukumbatia migogoro ya wakulima na wafugaji katika maeneo mbalimb...