Imewekwa kuanzia tarehe: April 6th, 2023
Pichani ni Simba wawili waliopokelewa hivi karibuni ambao wamepewa majina ya Lucy na Rihana katika bustani ya Ruhila iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 6th, 2023
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa ameongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama, amekagua mradi wa ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Songea ambacho serikali imetoa zaidi ya shilingi...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 6th, 2023
SERIKALI imeboresha miundombinu ya barabara kwa kujenga barabara ya lami kutoka Wilaya ya Mbinga hadi Mbambabay Wilaya ya Nyasa pia serikali imenunua meli tatu zinazofanya kazi katika ziwa Nyasa.
M...