Imewekwa kuanzia tarehe: March 1st, 2021
KAIMU Kamishina wa Ardhi Msaidizi wa Mkoa wa Ruvuma Ildeforce Ndemela amesema Idara ya ardhi mkoani Ruvuma imekusanya maduhuli ya serikali kwa asilimia 108.
Akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ardhi...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 27th, 2021
WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza mikoa na Mamlaka zote za serikali za mitaa kutenga bajeti ya kuyahifadhi maeneo yote ya kihistoria ili kutopoteza historia yake kwa manufaa ya Taifa.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 27th, 2021
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Innocent Gashungwa ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa maeneo yote ya kihistoria yanalindwa na kutunzwa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na ki...