Imewekwa kuanzia tarehe: December 5th, 2022
Mradi wa shule mpya ya sekondari ya Majimaji Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,serikali imetoa shilingi milioni 470 kutekeleza mradi huo ...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 5th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewataka wazazi mkoani Ruvuma kuwajibika ipasavyo katika malezi ya watoto wao
Hayo ameyasema wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri y...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 5th, 2022
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 1.4 kujenga shule mpya tatu za sekondari katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.
Akizungumza wakati wa...