Imewekwa kuanzia tarehe: April 6th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema tasnia ya habari mkoani Ruvuma imempoteza mtu muhimu baada ya kifo cha mwanahabari mkongwe Adamu Nindi aliyekuwa Mwakilishi wa Kampuni ya Sahara...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 5th, 2024
Wateja watano wa Benki ya NMB wamejinyakulia fedha taslimu Sh.milioni moja kila mmoja katika Droo ya kila Mwezi iliyochezwa katika tawi la NMB Songea kupitia kampeni kubwa inayofahamika kw...