Imewekwa kuanzia tarehe: June 16th, 2023
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika mkoani Ruvuma yamefanyika hii leo Juni16, 2023 kwenye uwanja wa Luwinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ambapo mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 16th, 2023
Wakulima wa ufuta katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wameingiza zaidi ya shilingi bilioni 10.5 baada ya kuuza tani 1626 za ufuta katika minada mitatu iliyofanyika kupitia mfumo wa stakabadhi ghala...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 15th, 2023
SEKONDARI mpya ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma iliyosajiriwa kwa jina la Dkt Samia Suluhu Hassan imejengwa Wilaya ya Namtumbo inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano Julai 2023.
...