Imewekwa kuanzia tarehe: February 22nd, 2024
UCHAGUZI mdogo kata ya Utiri Halmashauri ya Mji Mbinga mkoani Ruvuma pamoja na kata nyingine 22 Tanzania bara unatarajia kufanyika Machi 20,2024.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), K...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 22nd, 2024
HOSPITALI ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia Kitengo cha Kifua Kikuu na Ukoma ,imeanza kampeni maalum ya upimaji wa vimelea vya ugonjwa wa kifua kikuu kwa wanafunzi wa shule zote za msingi ...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 21st, 2024
Na Albano Midelo,Songea
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa kufanikiwa kukusanya mapato ya ndani zaidi ya shilingi bilioni 29.5 sawa na ...