Imewekwa kuanzia tarehe: April 2nd, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekutana na kamati za maafa ngazi ya Mkoa na ngazi za wilaya zote tano katika Mkoa wa Ruvuma,lengo kuu ni kupata ripoti ya mapambano dhidi ya Corona katika Mko...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 31st, 2020
Baadhi ya wagonjwa wamepona virusi vya Covid-19, baada ya vipimuo kuonesha kuwa hawana coronavirus, lakini je wanaweza kupatikana na virusi vya Covid-19 baadae?.
SOMA HABARI KWA KINA HAPA ...