Imewekwa kuanzia tarehe: August 7th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemshukuru Rais Dkt John Magufuli kwa kubadilisha miundombinu ya Mkoa wa Ruvuma ikiwemo barabara,majini na angani hali ambayo imesababisha Mkoa kuwa na miundom...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 6th, 2020
MAONESHO ya nanenane katika Mkoa wa Ruvuma mwaka huu yamepambwa na maonesho ya bidhaa mbalimbali za wakulima na wafugaji,moja ya banda ambalo linatembelewa na wengi katika maonesho hayo ambayo yanafan...