Imewekwa kuanzia tarehe: March 9th, 2020
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma imekuwa ya kwanza kimkoa katika matokeo ya mashindano ya mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2019.
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala Msaidizi Serikali za...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 8th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaongoza mamia ya wanawake katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni KIZAZI CHA USAWA KWA MAENDELEO YA SASA ...