Imewekwa kuanzia tarehe: May 8th, 2020
SANAMU ya Rais wa kwanza wa Tanzania Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere inatarajiwa kujengwa katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika nchini Ethiopia.SOMA zaidi hapa
https://www.ippmedia.com/sw/hab...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 8th, 2020
WATANZANIA wanaosafiri na mabasi kutoka katika sehemu mbalimbali nchini wanatarajia kuanza kulipa nauli kijiditali.SOMA zaidi hapa https://www.habarileo.co.tz/habari/2020-05-075eb3aad15acd3.aspx...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 7th, 2020
UWT Mkoa wa Ruvuma imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na virusi vya corona kwa Jeshi la Magereza Mkoa wa Ruvuma.Vifaa hivyo vimekabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndem...