Imewekwa kuanzia tarehe: September 28th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametangaza Oktoba 22 mwaka huu kuwa ndiyo tarehe ya kufunguliwa masoko ya minada ya Korosho mkoani Ruvuma baada ya kupitishwa katika mkutano wa wadau wa Korosho...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 28th, 2020
Wataalam wa mifugo Nyanda za Juu Kusini wameweka mikakati endelevu itakayosaidia kudhibiti magonjwa ya mifugo na kukuza uchumi na pato la Taifa.
Mikakati hiyo imewekwa na wataalam hao katika ...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 28th, 2020
Kitongoji cha Darpori kilichopo katika kijiji cha Lunyere kata ya Mpepo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma kina makabila karibu yote ya Tanzania.Mwenyekiti mstaafu wa kijiji cha Lunyere ambaye ni Mgombea u...