Imewekwa kuanzia tarehe: May 19th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema hadi kufikia Mei 18,2020 Mkoa wa Ruvuma umebakiwa na mgonjwa mmoja wa corona ambaye anaendelea vizuri.
Mndeme ametoa taarifa hiyo wakati ...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 18th, 2020
SERIKALI inatarajia kuunganisha kwa mtandao wa lami mwambao mwa ziwa Nyasa mkoani Ruvuma kuanzia Lituhi hadi Chiwindi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amese...