Imewekwa kuanzia tarehe: July 15th, 2020
CHAMA kikuu cha Ushirika Mbinga kinatekeleza mradi wa ukabarati wa hoteli ya MBICU unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni moja.Ukarabati huo ambao unafanyika kwa awamu unatarajia kuchukua miaka mitatu....
Imewekwa kuanzia tarehe: July 13th, 2020
OFISA Maliasili wa Halmashauri ya Nyasa Mkoani Ruvuma Bugingo Bugingo amesema hekari moja ya miti ya mitiki inaweza kumuingizia mkulima zaidi ya milioni 400.
Bugingo amesema Halmashauri ya Ny...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 13th, 2020
CHAMA cha Ushirika cha msingi kimuli,kilichopo kijiji cha Utiri, kata ya Utiri Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, kimetoa sh. milioni 100, kwa kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika...